Fashion

Saturday, May 3, 2014

Victoria Beckham Refuses to Design Kim Kardashian's Wedding Gown!

Kuna watu wengi ambao hawataki kuhusishwa na harusi ya KIMYE inayotarajiriwa kufanyika hivi karibuni..

Jayz na Beyoncé tayari washatoa samahani ya kutoudhuria  sherehe hiyo.

Imeripotiwa Kim alimfuata Victoria Beckham juu ya kubuni gauni la harusi yake na Posh akampiga chini  kwa sababu ya kuhofia brand yake kuaribiwa kisoko.

Victoria Beckham


Lakini hiyo sio sababu rasmi aliyotoa Victoria,inadaiwa alijitetea kuwa na kazi nyingi sana na kukosa muda wa kubuni hilo gauni .Vyanzo vya karibu na kampuni ya  Beckham vimesema Victoria ni mkali sana kwa kuikinga brand yake hivyo hasingeweza kujihusisha na Kim ambaye anahisi anaweza kuangusha brand yake.Victoria ana mikataba mingi sana na orodha ya mastaa na familia za kifalme .

Kimye Family








No comments:

Post a Comment