Fashion

Saturday, February 22, 2014

WAYNE ROONEY AULA MAN UTD,NI BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA!!....

MSHAMBULIAJI Wayne Rooney,amesaini mkataba wake mpya katika klabu ya Manchester Utd itakayomhakikishia kuwa hapo old Trafford kwa miaka mitano.Wayne Rooney atalipwa Pauni laki 300,000kwa wiki inayofanya awe mchezaji anayelipwa hela nyingi duniani.


Wayne Rooney
Rooney ambaye alitaka kuondoka mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kutofautiana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo Sir Alex Ferguson,aliwaambia mashabiki wake katika ukurasa wake wa facebook kwamba"imekuwa siku nzuri sana ,mimi kusaini mkataba mpya na klabu hii"


Ed Woodward,Wayne Rooney and David Moyes
Rooney amemshukuru sana Kocha wake Moyes,ambaye amesema wamekuwa na mahusiano mazuri toka Moyes atue Old Trafford.

Hongera zako Rooney,tunakutakia kila la kheri!!

Monday, February 3, 2014

REST IN PEACE PHILIP SEYMOUR HOFFMAN

Rest in Peace Mr Hoffman

SHE IS NO MORE BLONDE!!!!

Kim Kardashian  goes Brunette!!!


The 33-year-old has ditched her blond strands in favor of her original dark 'do and revealed the hair transformation on Instagram on Saturday.
The shot, which Kim titled "I'm back," was reminiscent of some of her early signature selfies. In the snap, she's eyeing the camera seductively and has her nude-colored lips sculpted into the perfect duckface pout. Her new chestnut, ombre tresses are styled into face-framing waves and highlight her brown eyes.
After five months of rocking blond hair, it's nice to see Kanye West's leading lady looking like her old self. The new color, which isn't as dark as her hair once was, has several honey-colored highlights that give her a warm glow.
During a Twitter conversation on Saturday, a fan asked the "Keeping Up With the Kardashians" star if she would ever go back to being a blonde. Kim replied, "Absolutely, I loved it."

Go go go Kim!!..
 

Sunday, February 2, 2014

WELCOME BABY LIAM!!...


Baby Liam

Mwaka huu nimeuanza vizuri sana kwa kumpokea Baby Liam duniani.He is such an adorable son.Namshukuru mungu ametupigania mpaka hapa tulipofika.Hamuwezi kuamini kuwa nilipokuwa na 8 months pregnant nilipata ajali ya gari kupinduka and guess what,nilitoka salama ingawa mkono uliteguka  wa kushoto.


Tunamwomba mungu awe nasi katika mwaka huu pia...Amen