Baby Liam |
Mwaka huu nimeuanza vizuri sana kwa kumpokea Baby Liam duniani.He is such an adorable son.Namshukuru mungu ametupigania mpaka hapa tulipofika.Hamuwezi kuamini kuwa nilipokuwa na 8 months pregnant nilipata ajali ya gari kupinduka and guess what,nilitoka salama ingawa mkono uliteguka wa kushoto.
Tunamwomba mungu awe nasi katika mwaka huu pia...Amen
Hongera mamii for such a beautiful baby
ReplyDelete